Mwigizaji Joseph “Omosh” Kinuthia akanusha kukumbwa na msongo wa mawazo

Mwigizaji Joseph “Omosh” Kinuthia akanusha kukumbwa na msongo wa mawazo

Mwigizaji Joseph Kinuthia maarufu kama Omosh amepuzilia mbali madai yanayotembea mtandaoni kuwa ana msongo wa mawazo baada ya familia yake kumkimbia. Kupitia video aliyopakia kwenye mtandao wa youtubemwigizaji wa zamani wa Tahidi High amesema madai hayo hayana msingi wowote huku akitoa angalizo kwa wakenya kutoamini wanachokiano mitandaoni kwani anaendelea vizuri na maisha yake ya kawaida […]

Read More