Joy wa Machachari Afichua Sababu ya Kuacha Uigizaji: “Kuigiza Kenya Hakulipi”
Aliyewahi kung’ara kama mmoja wa waigizaji chipukizi kwenye kipindi maarufu cha Machachari, Joy Ohon, ameweka wazi sababu iliyomfanya aachane na uigizaji wa kitaalamu. Akizungumza kwenye mahojiano na Obinna TV, Joy alieleza kwa uwazi kuwa alilazimika kuacha kuigiza kwa sababu sekta ya uigizaji nchini Kenya haimpi kipato cha kutosha kujikimu kimaisha. “Kuigiza Kenya hakulipi. Si kama […]
Read More