Willy Paul amtukana matusi ya nguoni msanii chipukizi kwa kukosoa muziki wake

Willy Paul amtukana matusi ya nguoni msanii chipukizi kwa kukosoa muziki wake

Staa wa muziki nchini Willy Paul ameamua kumjibu msanii chipukizi aitwaye JR Music Kenya kwa kukosoa uimbaji wake kwenye muziki. Kupitia ukurasa wake wa Twitter amedai kuwa hajawahi kumlazimisha mtu kusikiliza muziki wake  na yeyote ambaye anahisi nyimbo zake hazifurahishi arekodi wimbo wake mwenyewe ambao utamfurahisha. Hitmaker huyo wa “Tamu Walahi” ametoa matusi ya nguoni kwa msanii […]

Read More