Rayvanny Kutumbuiza Uwanja wa Taifa Juba, South Sudan

Rayvanny Kutumbuiza Uwanja wa Taifa Juba, South Sudan

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, anatarajia kutikisa jiji la Juba, South Sudan kwa onyesho kubwa litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Juba (Juba National Stadium). Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Rayvanny amethibitisha taarifa hiyo kwa maneno mazito yaliyojaa kujiamini, akieleza kuwa yeye si msanii wa kumbi ndogo bali wa viwanja vikubwa. “Not […]

Read More