JULIA FOX AWACHANA MATAJIRI, ADAI HAWAPENDI KABISA
Kumbe mrembo Julia Fox hakuwa na mapenzi kabisa kwa rapa Kanye West, ni vile tu alipenda pesa zake. Kwenye video ambayo aliiweka TikTok hivi karibuni, mrembo huyo ambaye alikuwa penzini na YE tangu Disemba 2021 hadi Februari 2022 amekiri kuwachukia matajiri ambapo ameenda mbali zaidi na kusema kwamba anatamani hata wasiwepo duniani. βPesa zinazotoka kwa […]
Read More