PENZI LA JULIANA KANYAMOZI LAMKOSESHA USINGIZI NAMELESS
Msanii mkongwe nchini Nameless ameshindwa kuficha mapenzi yake kwa msanii wa kike nchini Uganda Juliana Kanyamozi. Katika mahojiano yake hivi karibuni Nameless amesema asingekuwa ameoa angemchumbia mwanamuziki huyo kwa kuwa ni mrembo, ana kipaji cha kipekee lakini pia ni mchapa kazi. Hitmaker huyo wa ngoma “Deep” ameenda mbali zaidi na kusema kwamba wamekuwa marafiki kwa […]
Read More