JULIANI AKIRI KUPOTEZA DILI NONO KISA MKE WAKE LILIAN NG’ANG’A

JULIANI AKIRI KUPOTEZA DILI NONO KISA MKE WAKE LILIAN NG’ANG’A

Rapa kutoka Kenya Juliani amefichua kuwa alipoteza dili mbili kubwa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimpenzi na Lilian Ng’ang’a mwaka 2021. Akizungumza na Kalondu Musyimi, Juliani amesema makampuni yalioyolenga kufanya nae kazi kipindi hicho yaliingiwa na hofu kutokana na namna watu walivyokuwa wakimshambulia mtandaoni. Juliani hata hivyo ametoa changamoto kwa vyombo vya habari kuwakuza […]

Read More
 JULIANI AKIRI KUYUMBA KIUCHUMI

JULIANI AKIRI KUYUMBA KIUCHUMI

Mwimbaji Julius Owino almaarufu Juliani amekiri hadharani kuyumba kiuchumi baada ya walimwengu kumkejeli mtandaoni. Katika video aliyochapisha kwenye instastory yake, Juliani amesema kuwa tatizo linalomkabili limechangiwa na hatua ya kutumia fedha zake kufadhili mipango yake bila wafadhili huku akifichua kuwa alichukua mikopo kwa ajili ya kukamilisha baadhi ya miradi. Aidha amesema changamoto za kifedha anazokumbana […]

Read More
 JULIANI AWAJIBU KISOMI WANAOIPONDA MAHUSIANO YAKE NA LILIAN NGANGA

JULIANI AWAJIBU KISOMI WANAOIPONDA MAHUSIANO YAKE NA LILIAN NGANGA

Hatimaye mwanamuziki Juliani amefunguka kuhusu kinachoendelea mitandaoni kumuhusu mke wake Lilian Ng’ang’a. Kupitia ukurasa wake wa twitter ameamua kutoa maelezo kuhusu hali yake ya uchumi kwa kuwakejeli wanaomsema vibaya mtandaoni. Rapa huyo ameandika ujumbe anaosema kwamba amefulia kiuchumi ambapo ameenda mbali zaidi na kuwaomba wakenya msaada wa kifedha kupitia paybill ili aweze kumnunulia mtoto wake […]

Read More
 LILIAN NG’ANG’A AWACHANA WANAOISEMA VIBAYA NDOA YAKE NA JULIANI

LILIAN NG’ANG’A AWACHANA WANAOISEMA VIBAYA NDOA YAKE NA JULIANI

Mke wa Juliani, Lilian Ng’ang’a ameshindwa kuwavumilia watu wanaozidi kumkejeli mtandaoni kwa hatua ya kuingia kwenye ndoa na mwimbaji huyo. Kilichomuumiza zaidi mrembo huyo ni kitendo cha watu kuhoji kuwa ilikuwa ni fedhea kwake kuacha utajiri wa Alfred Mutua na kisha kukimbilia maisha ya taabu kwa Juliani. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Ng”ang’a […]

Read More
 JULIANI AWAPA SOMO WASANII CHIPUKIZI

JULIANI AWAPA SOMO WASANII CHIPUKIZI

Rapa Juliani amewapa somo wasanii chipukizi wanaolaza damu kwenye suala la kuupeleka muziki wao kwenye kiwango kingine. Katika mahojiano yake hivi karibuni Juliani amesema wasanii hao wanapaswa kuchangamkia fursa zilizopo badala ya kulalamika kila mara kuwa wametengwa na jamii inayowazunguka. “Usijidharau msee, because when I look at my career, from where I started to now […]

Read More
 RAPA JULIANI ATAJWA KUSHIRIKI MPANGO WA EISENHOWER FELLOWSHIP

RAPA JULIANI ATAJWA KUSHIRIKI MPANGO WA EISENHOWER FELLOWSHIP

Rapa Juliani amechaguliwa kujiunga na mpango wa Eisenhower Fellowships ambayo inatarajiwa kuanza Aprili 10 hadi mei 18 mwaka wa 2023. Juliani ameweka wazi taarifa hiyo kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kusema kuwa amefarijika kuwa miongoni mwa viongozi wa afrika ambao watasafiri nchini marekani kwa ajili mpango huo ambao umefadhiliwa kwa asilimia […]

Read More
 JULIANI ATANGAZA UJIO WA TAMASHA LAKE LA MUZIKI

JULIANI ATANGAZA UJIO WA TAMASHA LAKE LA MUZIKI

Rapa Juliani ametangaza ujio wa tamasha lake liitwalo Nairobi Startup week ambayo ni mahususi kwa ajili ya wafanyibiashara wadogo na wale wa kadri. Juliani amethibitisha taarifa hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram kwa kusema kuwa tamasha hilo la siku tano litaanza rasmi Julai 10 hadi julai 15 huko Waterfront mall jijini Nairobi ambapo itajumuisha maonesho […]

Read More
 RAPA JULIANI APUZILIA MBALI NA MADAI YA KUPEWA KAZI NA MUUNGANO WA KISIASA WA AZIMIO LA UMOJA

RAPA JULIANI APUZILIA MBALI NA MADAI YA KUPEWA KAZI NA MUUNGANO WA KISIASA WA AZIMIO LA UMOJA

Rapa kutoka Kenya Juliani amekanusha kuteuliwa kama afisa mkuu wa masuala ya burudani katika muungano wa kisiasa wa Azimio la Umoja. Kupitia taarifa yake kwenye mitandao yake ya kijamii Juliani amesema madai yanayosambaa mtandaoni kuhusu kuteuliwa kwake hayana ukweli wowote kwa kuwa hajapokea taarifa yeyote kutoka kwa uongozi wa azimio la umoja kuhusu suala la […]

Read More
 RAPPER JULIANI NA LILIAN NG’ANG’A WAFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA

RAPPER JULIANI NA LILIAN NG’ANG’A WAFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA

Rapper Juliani ameripotiwa kufunga ndoa ya kimya kimya na mchumba wake Lilian Ng’ang’a  baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda. Kulingana na wajuzi mambo kwenye mitandao ya kijamii,Harusi hiyo ambayo inadaiwa kuwa ya siri imiefanyika jijini Nairobi na kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo wanafamilia pamoja na marafiki. Mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamiii wameonekana kufurahia […]

Read More