ALBUM YA OTILE BROWN “JUST IN LOVE” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA
Staa wa muziki nchini, Otile Brown anaendelea kupokea upendo na support kubwa kutoka kwa mshabiki wake kiasi cha kufanya vizuri na album yake ‘Just In Love’. Hadi kufikia sasa katika mtandao wa boomplay album hiyo imeweza kusikilizwa zaidi ya mara millioni 17.3 ikiwa ni takriban miaka miwili tangu itokea rasmi. Kwa mafanakio hayo, Album ya just in love ndio Album iliyosikilizwa zaidi kwenye mtandao wa […]
Read More