JUSTIN BIEBER ATANGAZA KUREJEA KWA JUSTICE WORLD TOUR

JUSTIN BIEBER ATANGAZA KUREJEA KWA JUSTICE WORLD TOUR

Staa wa muziki nchini Marekani Justin Bieber anayo furaha kukutangazia kwamba amerejea tena stejini ambapo ziara yake “Justice World Tour” imetajwa kuwa itaendelea tena Julai 31 mwaka huu nchini Italia. Hii inakuwa taarifa njema kwa mashabiki wa Justin Bieber ambao walipigwa na ganzi baada ya tamko la kuahirishwa kwa ziara hiyo mwezi uliopita kufuatia tatizo […]

Read More
 MKE WA MWANAMUZIKI JUSTIN BIEBER AFUNGUKA UGONJWA UNAOMSUMBUA

MKE WA MWANAMUZIKI JUSTIN BIEBER AFUNGUKA UGONJWA UNAOMSUMBUA

Mke wa mwimbaji Justine Bieber, Hailey Bieber amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto yaki afya iliyomkabili mwezi uliopita, ambayo ilimfanya moja kwa moja afikiri kuwa amepata ugonjwa wa kiharusi. Utata wa kukumbwa na ugonjwa wa Kiharusi kwa Hailey, uliishia hospitalini ambako madaktari walibaini kuwa alikuwa na tundu kwenye moyo wake. Kwa mujibu wa ripoti […]

Read More