Jux na Priscilla Wabarikiwa Kupata Mtoto wa Kiume
Msanii wa Bongo Fleva, Jux, na mpenzi wake raia wa Nigeria, Priscilla, wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza, mtoto wa kiume. Taarifa hiyo njema imepokelewa kwa furaha kubwa na mashabiki wao kutoka Tanzania, Nigeria na maeneo mengine ya Afrika Mashariki. Kupitia mitandao ya kijamii, Jux na Priscilla walithibitisha habari hizo kwa kushiriki picha na ujumbe […]
Read More