K.O AACHIA RASMI FORM NNE EP

K.O AACHIA RASMI FORM NNE EP

Mwanamuziki kutoka lebo ya 001 Music K.O ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Form nne EP. Form nne EP ina jumla ya ngoma nne za moto na bonus track mbili ambapo amewashirikisha wakali kama Susumila, Slyvia Ssaru,Tundaman, na wengine kibao. EP hiyo ina ngoma kama Soba, Waonyeshe akiwa na Sylivia Ssaru,Ngoja akiwa […]

Read More