Kaa La Moto aachia rasmi Album yake mpya
Rapa kutoka Kenya Kaa La Moto ameachia rasmi Album yake mpya, inayokwenda kwa jina la “Mkanda Mweusi.” Album hiyo, ina jumla ya mikwaju 15 huku ndani akiwapa shavu wakali kama AY, Joh Makini, Dully Sykes, Kala Jeremiah, Johnny Skani, Jua Cali, Kelechi Africana na wengine wengi. Hata hivyo Mkanda Mweusi Album inapatikana Exclusive kwenye majukwaa […]
Read More