KABAKO ASITISHA GHAFLA ONESHO LAKE HUKO KYENJONJO UGANDA

KABAKO ASITISHA GHAFLA ONESHO LAKE HUKO KYENJONJO UGANDA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Kabako anakadiria hasara ya maelfu ya pesa baada ya kusitisha onesho lake huko Kyenjonjo kutokana na kushindwa kutumiza maagizo aliyopewa na polisi. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Kabako amesema polisi walimkatishia tamaa baada ya kumtoza pesa nyingi ili wampe ruhusa ya kuandaa onesho hilo, jambo ambalo amedai lilikuwa nje ya […]

Read More