Kabugi awataka wafuasi kufasiri ndoto yake kuhusu Vera Sidika na Millicent
Mchekeshaji maarufu Kabugi ameibua maswali miongoni mwa mashabiki wake baada ya kudai aliota ndoto ya kushangaza ikimuhusisha sosholaiti Vera Sidika na Millicent. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Kabugi alisema ndoto hiyo imemchanganya na sasa anawataka wafuasi wake wamsaidie kuifasiri. Katika ndoto hiyo, anadai kuwa alijikuta kwenye hali isiyoelezeka akiwa na nyota hao wawili maarufu, lakini […]
Read More