RAPPER KAHUSH APUZILIA MBALI TAMASHA LA MOST WANTED, ADAI NI BATILI
Rapper kutoka Kenya Kahush ameipuzilia mbali tamasha la “Most Wanted” ambalo litawaleta nchini wasanii wa kundi la Wstrn kutoka nchini Uingereza Aprili 22 mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram kahush amesema tamasha hilo ni batili huku akiwajia juu waandaji wa show hiyo kwa kutumia chapa yake ya “Most Wanted” bila idhini yake. Hitmaker huyo […]
Read More