Kajala Masanja Afichua Alivyohongwa Mamilioni na Wanaume
Muigizaji nyota wa filamu za Bongo, Kajala Masanja, amekiri hadharani kuwa alihongwa mamilioni ya fedha na wanaume waliotaka kutoka naye kimapenzi kipindi ambacho nyota yake ilikuwa imeng’aa kwenye tasnia ya filamu. Akizungumza kupitia podcast ya A List Stars, Kajala amesema licha ya kupata pesa nyingi kutoka kwa wanaume tofauti hakufanya jambo la maana zaidi ya […]
Read More