Kajala sio meneja tena Konde Music Worldwide
Meneja wa Harmonize, Dk. Sebastian Ndege maarufu Jembe ni Jembe amefichua kuwa Kajala Msanja sio Meneja tena katika Lebo ya Konde Music Worldwide yake Harmonize. Hata hivyo, amesema Kajala ameendelea kuwa mwanafamilia na anaamini mahusiano yake na Harmonize hayajawahi kuharibu kazi. “Yeye ni mpenzi wa zamani wa msanii wangu ila sio sehemu ya Lebo, alikuwa […]
Read More