Harmonize Adaiwa Kununa Baada ya Kajala Kusafiri Nairobi Ghafla
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize anadaiwa kukasirishwa na kitendo cha mpenzi wake, Kajala Masanja, kusafiri kwenda Nairobi kwa ajili ya shughuli zake za kikazi. Kwa mujibu wa Kajala, Harmonize alikuwa tayari amepanga kutoka naye siku hiyo kwa ajili ya matembezi maalum. Hata hivyo, hali ilibadilika ghafla baada ya kugundua kuwa Kajala alikuwa na safari ya […]
Read More