King Kaka Afichua Siri ya Kuweza Kusawazisha Majukumu ya Uongozi, Muziki na Upishi

King Kaka Afichua Siri ya Kuweza Kusawazisha Majukumu ya Uongozi, Muziki na Upishi

Msanii maarufu wa muziki wa hip hop nchini Kenya, Kennedy Ombima almaarufu King Kaka, amewashangaza mashabiki wake kwa mara nyingine baada ya kufichua jinsi anavyoweza kusawazisha majukumu yake mengi, akiwa Mkurugenzi Mtendaji (CEO), Mkurugenzi wa miradi, msanii wa muziki na hivi karibuni, mpishi (chef). Katika mahojiano maalum, King Kaka alieleza kuwa utaratibu madhubuti, nidhamu ya […]

Read More