KALIFAH AGANAGA ADAI WAGANDA HAWANA UWEZO WA KUSHINDANA NA WASANII WA NIGERIA

KALIFAH AGANAGA ADAI WAGANDA HAWANA UWEZO WA KUSHINDANA NA WASANII WA NIGERIA

Msanii Kalifah Aganaga amedai kwamba wasanii wa Uganda hawana uwezo wa kushinda kisanaa na wenzao kutoka Nigeria. Bosi huyo wa Bad Character Records amesema tasnia ya muziki nchini humo imekosa wawekezaji wa kuupeleka muziki wao kwenye soko la kimataifa. Aganaga amesisitiza kuwa nchi ya Nigeria ina wawekezaji wengi ambao wanatumia mabillioni ya fedha kutanua wigo […]

Read More