KAMBUA ATOA WITO KWA MASHABIKI KUWAOMBEA WALIOPOTEZA WATOTO WACHANGA
Mwimbaji wa nyimbo za injili Kambua amewahimiza mashabiki kuwaombea wale wote waliopoteza watoto wa changa kabla na baada ya kuzaliwa. Kupitia instastory yake kweye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwataka wafuasi wake kuwaonyesha upendo kwa kuwapigia simu au kuwatumia ujumbe kama njia ya kuwafariji kuwa watoto wao wachanga waliotangulia mbele za haki wana dhamana […]
Read More