Kamene Goro Aomba Radhi Kwa Kudanganya Kuhusu Kutoka Kimapenzi na Wanaume 27
Mtangazaji wa redio kutoka Kenya, Kamene Goro, ameomba radhi kwa umma baada ya kukiri kudanganya kuhusu madai ya kutoka kimapenzi na wanaume 27. Akizungumza kwenye podcast ya Mwakideu Live, Kamene amefichua kuwa kauli hiyo haikuwa ya kweli, bali ilikuwa sehemu ya kampeni ya afya ya uzazi iliyolenga kuwasilisha ujumbe kwa vijana na jamii kwa ujumla. […]
Read More