Rapa Kanambo Dede Akamilisha Masomo yake ya Kidato cha Nne

Rapa Kanambo Dede Akamilisha Masomo yake ya Kidato cha Nne

Rapper Kanambo Dede ametimiza hatua muhimu katika maisha yake baada ya kukamilisha rasmi masomo yake ya sekondari. Taarifa za kuhitimu kwake zimethibitishwa na msanii na mkurugenzi wa Kaka Empire, King Kaka, ambaye ameposti kipande cha video akiwa na Kanambo na kusisitiza kuwa mashabiki wajiandae kupokea muziki mzuri kutoka kwake. King Kaka ameonyesha matumaini makubwa kwa […]

Read More
 KANAMBO DEDE ARUDI SHULENI KUKAMILISHA MASOMO YAKE YA SEKONDARI

KANAMBO DEDE ARUDI SHULENI KUKAMILISHA MASOMO YAKE YA SEKONDARI

Female rapper kutoka Kenya Kanambo Dede amerudi tena shuleni kuendeleza masomo yake ya upili baada ya kuacha shule miaka kadhaa iliyopita. Rapa huyo ambaye alipata umaarufu nchini baada ya video yake kusambaa akiwa anachana mistari ya muziki wa hiphop aliacha shule kutokana na umaskini nyumbani kwao lakini pia mimba aliyoipata akiwa mchanga. Akizungumza na mungai […]

Read More