Kanda Bongo Man Aomboleza Kifo cha Raila Odinga, Akumbuka Ukaribu Wake na Kenya
Msanii mkongwe wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man, ameungana na Wakenya kuomboleza kifo cha aliyekuwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Amolo Odinga. Kupitia ujumbe wake wa pole, Kanda Bongo Man ameonyesha huzuni kubwa kufuatia kifo cha kiongozi huyo ambaye amesema alikuwa mtu wa karibu kwake na mwenye […]
Read More