KANYE WEST AFUNGULIWA MASHTAKA JUU YA BIDHAA ZAKE ZA YEEZY

KANYE WEST AFUNGULIWA MASHTAKA JUU YA BIDHAA ZAKE ZA YEEZY

Mamlaka ya mji wa California imemshtaki Rapa Kanye West kwa kile kilichoelezwa kwamba amevunja sheria za usafirishaji wa mizigo ambapo anadaiwa kuchelewesha bidhaa za YEEZY (shipping delays) ambazo watu huagiza mtandaoni. Kanuni zinamtaka msafirishaji wa mizigo kutumia siku 30 tu kusafirisha mzigo na kumfikia mteja ndani ya siku hizo. Mamlaka ya mji huo umesema Kanye […]

Read More