KANYE WEST ATAKA KUMALIZA BIFU YAKE NA DRAKE
Staa wa muziki Hiphop kutoka Marekani Kanye West amejitokeza hadharani kuomba kumaliza tofauti zake na Drake. Kanye West amefikia maamuzi hayo akiwa na lengo la kumshawishi Drake aungane naye wafanye tamasha la pamoja Disemba 7 mwaka huu kwa lengo la kumsaidia Larry Hoover aachiwe huru kutoka gerezani ambapo anatumikia kifungo cha maisha tangu mwaka 1973. […]
Read More