KANYE WEST NA DRAKE KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA FREE LARRY BENEFIT CONCERT
Baada ya kumaliza bifu lao la miaka kadhaa wakali Kanye West ‘Ye’ na Drake wanatarajia kufanya tamasha la pamoja huko Los Angeles nchini Marekani katika viwanja vya Memorial Coliseum’s. Wawili hao watapanda kwenye jukwaa la tamasha hilo linalotambulika kama “Free Larry Benefit Concert” Desemba 9, mwaka wa 2021. Tamasha hilo ni mahususi kwa ajili ya […]
Read More