KAPA CAT AKOSOA SERIKALI KUWAFUNGIA WASANII KUFANYA SHOWS MASHULENI

KAPA CAT AKOSOA SERIKALI KUWAFUNGIA WASANII KUFANYA SHOWS MASHULENI

Mwanamuziki kutoka Uganda Kapa Cat ameitaka wizara ya elimu kutoingilia namna wasanii wanavyovalia mavazi yao. Akizungumza kwenye moja ya show yake Kapa Cat amesema hatua ya wizara hiyo kuwafungia wasanii kufanya show zao mashuleni, inawanyima uhuru wa kuwa wabunifu kwenye suala la kuendeleza sanaa yao. Utakumbuka mwezi mmoja uliopita wizara ya elimu nchini iliwapiga marufuku […]

Read More
 KAPA CAT AKIRI HADHARANI KUCHUKIA MIPIRA YA KONDOMU

KAPA CAT AKIRI HADHARANI KUCHUKIA MIPIRA YA KONDOMU

Msanii asiyeishiwa na vituko kila leo Kapa Cat amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kukiri hadharani kuwa anachukia kutumia kondomu wakati wa tendo la ndoa. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni mrembo huyo ambaye anadaiwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda amesema anafadhalisha kushiriki tendo la ndoa bila kutumia kinga kwa kuwa mipira ya […]

Read More
 KAPA CAT AMBURUZA PROMOTA MAHAKAMANI KWA KUCHOCHEA MASHABIKI KUAHARIBU GARI LAKE

KAPA CAT AMBURUZA PROMOTA MAHAKAMANI KWA KUCHOCHEA MASHABIKI KUAHARIBU GARI LAKE

Mwanamuziki kutoka Uganda Kapa Cat, ametishia kumfungulia mashtaka promota mmoja huko Bugiri kwa madai ya kuwachochea mashabiki kuaharibu gari lake. Kapa Cat amesema promota huyo anayefahamika kwa jina la Kim aliwaambie mashabiki kuwa hajafaki eneo la show jambo ambalo liliwafanya mashabiki kuzua vurugu na kuanza kuaharibu gari lake alilokuwa ameegesha karibu ukumbi wa burudani. Hata […]

Read More