Karen Nyamu afunguka baada ya kuzua tafrani nchini Dubai
Baby Mama wa mwanamuziki wa Mugithi Samidoh Muchoki, Karen Nyamu amezungumzia kuhusu video iliyosambaa mtandaoni akiwa anasindikizwa na walinzi nje ya ukumbi wa tamasha la Samidoh huko Qatar. Akizungumza moja kwa moja kwenye mtandao wa Instagram, Karen Nyamu amesema hakuwa na habari kuwa alihitaji leseni ya kuonekana jukwaani. Katika utetezi wake, amesema hakufanya kosa lolote […]
Read More