Karole Kasita Asema Hana Mpango wa Kuolewa
Mwanamuziki wa Dancehall kutoka nchini Uganda, Karole Kasita, amefunguka kuwa hana mpango wa kuingia kwenye ndoa kwa sasa, akisisitiza kuwa nguvu zake zote kwa sasa amezielekeza kwa mtoto wake na kazi ya muziki. Karole, ambaye alijifungua mtoto wake wa kwanza takribani miaka mitatu iliyopita, amefafanua kuwa ingawa hajaolewa na baba wa mtoto wake, lakini amemshukuru […]
Read More