Kataleya na Kandle Wapanga Kuzaa Watoto Wakati Mmoja

Kataleya na Kandle Wapanga Kuzaa Watoto Wakati Mmoja

Wasanii wawili maarufu kutoka Uganda, Kataleya na Kandle, wameweka wazi mpango wao wa kupata ujauzito kwa wakati mmoja, hatua ambayo imezua hisia mseto miongoni mwa mashabiki na wadau wa tasnia ya burudani. Katika mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha redio cha Galaxy FM, wawili hao, ambao wamekuwa wakifanya kazi kwa karibu tangu walipoingia kwenye […]

Read More