KATE ACTRESS ALAMBA SHAVU YA UBALOZI NICE & LOVELY KENYA
Mwigizaji maarufu nchini Kate Actress amelamba dili nono la ubalozi wa vipodozi vya Nice & Lovely kwa upande wa Kenya. Kate Actress ametangaza habari njema kwa wafuasi wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kusema kwamba ana furaha kubwa kujiunga na familia ya Nice & Lovely ambayo inazalisha bidhaa za Urembo za asili zenye uwezo wa kupendezesha ngozi bila ya […]
Read More