Socialite Kate Thuku Asema Wanaume wa Kisasa Hawana Mapenzi ya Kweli
Socialite chipukizi Kate Thuku ameweka wazi sababu zinazomfanya kwa sasa asiwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akidai kuwa wanaume wengi wa kisasa hawana romance. Akiwa mgeni kwenye podcast ya Prezident Law, Kate alisema anatilia maanani upendo, hisia na kujitolea katika uhusiano. Hata hivyo, kwa mtazamo wake, wanaume wa kisasa wamepoteza ule msisimko na ugunduzi wa kimapenzi […]
Read More