RAPA WA KENYA KAYCCY ATEULIWA KUSHIRIKI 2022 XXL FRESHMAN 10 SPOT MAREKANI
Rapa wa Kenya anaishi nchini Marekani KayCyy ameteuliwa kuwania nafasi ya kuingia katika orodha ya wasanii 10 watakaoshirikishwa kwenye 2022 XXL Freshman 10th Spot, listi ya marapa 10 bora ambayo hutolewa kila mwaka na jarida la New York Hiphop Magazine siku chache baada ya kutambuliwa na waandaji wa tuzo za Grammy. Rapa huyo ambaye anafahamika […]
Read More