KayCyy Atikisa Mtandao kwa Ujumbe wa Kutafuta Mke
Msanii wa muziki wa hip hop mwenye asili ya Kenya, KayCyy, ameibua hisia na mjadala mitandaoni baada ya kutangaza kuwa anatafuta mke. Kupitia ujumbe wa moja kwa moja uliojaa hisia kwenye Insta stories yake, KayCyy alisema kuwa yuko tayari kwa mahusiano ya kudumu na anahitaji mtu wa kushirikiana naye katika safari ya maisha. “Nahitaji mke […]
Read More