KAYUMBA AACHIA RASMI SWEET PAIN EP

KAYUMBA AACHIA RASMI SWEET PAIN EP

Msanii wa muziki  Bongofleva Kayumba ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Sweet Pain. Sweet Pain  EP ina jumla ya ngoma sita za moto na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Nadia mukami,na Marioo EP hiyo ina nyimbo kama Bomba Remix,Mapenzi Yanauma, Baishoo,Move on, Coco na Nimegonga ambayo ni Bonus track. Sweet Pain   ni EP ya kwanza kwa mtu mzima Kayumba tangu aanze safari yake ya muziki na Nimegonga ambapo inapatikana ‘Exclusive’ kupitia mtandao wa kukisikiliza na kupakua muziki wa Boomplay.

Read More