KAYUMBA AACHIA RASMI SWEET PAIN EP
Msanii wa muziki Bongofleva Kayumba ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Sweet Pain. Sweet Pain EP ina jumla ya ngoma sita za moto na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Nadia mukami,na Marioo EP hiyo ina nyimbo kama Bomba Remix,Mapenzi Yanauma, Baishoo,Move on, Coco na Nimegonga ambayo ni Bonus track. Sweet […]
Read More