KAZ AWAJIBU WANAOMTISHIA MTANDAONI
Mwanamuziki Kaz Lucas amewajibu wanaotaka kuanika picha zake za utupu baada ya kukiingia kifua klabu moja ya usiku iitwayo Alchemist iliyoko jiji Nairobi kwa tuhuma za ubaguzi wa rangi. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram amesema ameshangazwa na namna watu wameanza kumdhalalisha kutokana na maoni yake juu night club hiyo huku akisema yeyote anayetaka […]
Read More