“Mbona Nikae Kwa Limelight?” – Ngesh Afunguka Kuhusu Changamoto Baada ya Umaarufu wa ‘Kaveve Kazoze’
Msanii wa muziki wa mitaani Mary Ngesh, maarufu kama Ngesh wa Kaveve Kazoze, amezungumza wazi kuhusu sababu za kutoweka kwake katika tasnia ya burudani baada ya kupata umaarufu mkubwa kupitia wimbo wake uliotamba mitandaoni mwaka 2023. Katika mahojiano ya hivi majuzi, Ngesh alisema kuwa licha ya umaarufu alioupata, maisha yake hayajabadilika, akieleza kuwa bado anakabiliwa na […]
Read More