KPL: Sharks Waizamisha KCB, Gor Mahia Wazidi Kuteleza Dhidi ya City Stars
Ligi Kuu ya Kenya (KPL) iliendelea leo Alhamisi, 15 Mei 2025, kwa michezo kadhaa ya kusisimua, huku timu zikiwania pointi muhimu katika mbio za ubingwa na kujiokoa kutoka kushuka daraja. Katika mechi ya kwanza, Kariobangi Sharks walipata ushindi muhimu wa bao 1 kwa 0 dhidi ya KCB. Bao hilo lilifungwa na H. Aroko katika dakika […]
Read More