KENDRICK LAMAR ADOKEZA KUHUSU UJIO WA ALBUM YAKE MPYA
Mkali wa hiphop duniani Kendrick Lamar hakuwa ametumbuiza kwenye ardhi ya Marekani kwa siku 730, tamasha la Day n Vegas lililofanyika Novemba 12 mwaka huu ndio lilikuwa onesho lake la kwanza kutumbuiza katika kipindi chote hicho cha miaka miwili. Hakuondoka hivi hivi stejini, Kendrick Lamar amedokeza juu ya ujio wa album yake kwa kuwaambia mashabiki […]
Read More