Kennedy Rapudo Adokeza Kiwango Kikubwa Alichowekeza Katika Mapenzi
Mfanyabiashara na mpenzi wa socialite Amber Ray, Kennedy Rapudo, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kufichua kwamba kiasi cha juu zaidi cha fedha ambacho amewahi kuwekeza kwa mwanamke ni shilingi milioni 10 za Kenya. Katika maelezo yake, Rapudo amesema aliamua kutumia kiasi hicho kikubwa cha fedha ili kumthamini mpenzi wake wa wakati huo. Amefafanua kuwa […]
Read More