Nicki Minaj afichua kuwa alifikiria kuacha muziki kutokana na ukosoaji na changamoto za kazi

Nicki Minaj afichua kuwa alifikiria kuacha muziki kutokana na ukosoaji na changamoto za kazi

Rapa maarufu Nicki Minaj amefunguka kuhusu changamoto kubwa alizokumbana nazo katika maisha yake ya muziki. Katika mahojiano na Vogue Italia, Minaj amesema kuwa mara kadhaa alifikiria kuacha kabisa kazi kutokana na ukosoaji wa mara kwa mara na shinikizo la umaarufu. Amesema kuwa licha ya mawazo hayo ya kukata tamaa, aliamua kuendelea kusonga mbele. “Nimesikia ukosoaji […]

Read More
 MUME WA NICK MINAJ AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA

MUME WA NICK MINAJ AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA

Mume wa Nicki Minaj, Kenneth Petty amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu chini ya Uangalizi wa Mahakama pamoja na Kifungo cha nyumbani mwaka mmoja baada ya kukiri kushindwa kujisajili kama mkosaji wa Kingono (Sex Offender) katika Jimbo la California mwaka 2020. Kwa mujibu wa Mwanasheria wa Serikali, Mahakama pia imemtaka alipe faini ya dollar ($55,000). Petty […]

Read More