Mchekeshaji YY Aomba Msamaha Kwa Kutania Pesa Ambazo Kenrazy Anatoza Kwenye Show
Mchekeshaji wa YY ameomba msamaha kwa kutania kiasi cha pesa ambacho mwanamuziki wa Kenya Kenrazy anatoza kwenye shows zake. Katika mahojiano na Plug TV, YY alinukuliwa akisema kuwa hawezimudu gharama za kumualika msanii Willy Paul kwenye shows zake kwa kuwa anatoza pesa nyingi ambapo alienda mbali Zaidi na kutania kuwa ni heri ampe show timmy […]
Read More