Duru ya Mwisho ya Raga 7s Kuwaka Moto Kisumu Wiki Hii
Msururu wa kitaifa wa raga ya wachezaji saba kila upande unatarajiwa kuelekea jijini Kisumu mwishoni mwa juma hili kwa raundi ya Dala, huku timu za KCB Rugby na Strathmore Leos zikitajwa kuwa miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kutawazwa mabingwa wa msimu huu. Mashindano haya yamepata msukumo mkubwa baada ya kupokea udhamini wa shilingi milioni […]
Read More