Kenya Simbas Kwenda Afrika Kusini kwa Maandalizi ya Kombe la Dunia 2027
Kikosi cha wachezaji 33 wa timu ya taifa ya Kenya ya rugby kwa wachezaji 15 kila upande, Kenya Simbas, kitasafiri kuelekea Afrika Kusini wiki hii kwa mazoezi ya kujiandaa na michuano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2027, itakayofanyika nchini Uganda. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wa uzoefu akiwemo nahodha George Nyambua, pamoja na Samuel […]
Read More