Msanii Parroty Aingia Kwenye Bifu Kali na Militan Baada ya Kunyoa Dreadlocks Zake Bila Ridhaa
Msanii Parroty ameingia kwenye bifu kali na mwenzake Militan kufuatia tukio la kushangaza lililotokana na mzaha wa soka. Parroty, ambaye ni shabiki mkubwa wa Manchester United, awali alitania kuwa angenyoa dreadlocks zake endapo timu yake ingepoteza dhidi ya Tottenham. Baada ya United kufungwa 1-0, hali ilichukua mkondo mpya. Mzaha huo sasa umegeuka kuwa chanzo cha […]
Read More