KENZO MATATA MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA
Msanii wa muziki nchini Kenzo Matata ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia hivi karibuni. Katika mahojiano na SPM Buzz Mkali huyo wa ngoma ya “Mama Milcah” ametusanua kuwa album yake mpya imekamilika ambapo amewataka mashabiki wakae mkao wa kula kuipokea. Licha ya Kenzo Matata kutoweka wazi jina pamoja na idadi ngoma ya album yake mpya , amesema […]
Read More