Breaking!

Érdekes_nyeremények_a_szerencsejátékok_világában_és_az_nv_casino_kínála
test
Test
Lopportunité_unique_dexplorer_betclic_et_doptimiser_vos_paris_sportifs_en_ligne
September 23, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: KEYSHIA COLE

 Keyshia Cole Amwaga Hisia Baada ya Kuvunjika kwa Penzi Lake na Hunxho
Robert Elim May 30, 2025
Comments (0)

Keyshia Cole Amwaga Hisia Baada ya Kuvunjika kwa Penzi Lake na Hunxho

Malkia wa R&B, Keyshia Cole, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kuachana kwake na rapa Hunxho katika mahojiano mapya kwenye kipindi cha The Breakfast Club. Msanii huyo mashuhuri alizungumza kwa uwazi kuhusu hali yake ya sasa ya kimapenzi na kueleza kuwa bado hajapona kabisa baada ya kuvunjika kwa uhusiano huo. Alifafanua kuwa kwa sasa yuko […]

Read More
 LEO KATIKA HISTORIA OKTOBA 14, ALIZALIWA MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI KEYSHIA COLE.
Robert Elim October 15, 2021
Comments (0)

LEO KATIKA HISTORIA OKTOBA 14, ALIZALIWA MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI KEYSHIA COLE.

Siku kama ya leo oktoba 15 mwaka wa 1981 alizaliwa staa wa muziki wa RnB kutoka marekani Keyshia Cole. Jina lake halisi ni Keyshia Myeshia Johson na alizaliwa huko Oakland Carlifonia nchini Marekani ambako alianza kujifunza kuimba ambapo marafiki zake walimtambulisha kwa rap mkongwe nchini marekani MC Hammer akiwa na miaka 12 tu na kutaka […]

Read More

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.