William Getumbe Ashinda Kesi Dhidi ya KFCB, Mahakama Yatupilia Mbali Ada ya Leseni kwa Video za Mitandaoni

William Getumbe Ashinda Kesi Dhidi ya KFCB, Mahakama Yatupilia Mbali Ada ya Leseni kwa Video za Mitandaoni

Mahakama Kuu ya Milimani imeamua kwamba Bodi ya Ukaguzi wa Filamu Kenya – KFCB  haina mamlaka ya kulazimisha watayarishaji wa maudhui ya kawaida mitandaoni kulipa ada za leseni chini ya sheria ya sasa ya filamu. Uamuzi huo umetolewa kufuatia kesi iliyowasilishwa na mwanamuziki William Getumbe Kinyanjui, aliyepinga hatua ya KFCB ya kumtaka alipe shilingi elfu […]

Read More